Natafuta nyumba ya kupangisha

Natafuta nyumba ya kupangisha

franswamj

Member
Joined
May 23, 2014
Posts
96
Reaction score
11
Natafuta nyumba ya kupanga standard maeneo ya MWENGE, MAKONGO JUU, SURVEY, SINZA, UBUNGO, M/MBUSHO iwe na mambo yafuatayo:-maji, umeme, karibu na kituo cha daladala, tires, nk......madalali waamifu tu.
 
...teh teh haka kasharti umechapia mkuu....
 
Ni pm nikupe nyumba kubwa ya familia bila dalali mkuu ipo savei maeneo ya esaurp village
 
Back
Top Bottom