Moha Mfinanga
Member
- Jan 1, 2019
- 61
- 26
Habari ya kwako ndugu nipo Zanzibar ni mgeni natafuta nyumbani ya kupangisha ya self yenye fensi na geti bajeti yangu angalau USD 100 kwa mwezi kama inapatikana nifamishe kwa Namba zangu ni +255624029850
Wewe ni dalali? Kwanini usijenge yako kisha upangishe!Habari ya kwako ndugu nipo Zanzibar ni mgeni natafuta nyumbani ya kupangisha ya self yenye fensi na geti bajeti yangu angalau USD 100 kwa mwezi kama inapatikana nifamishe kwa Namba zangu ni +255624029850
Lugha gongana. Atakuwa anatafuta nyumba ya kupanga...Wewe ni dalali? Kwanini usijenge yako kisha upangishe!
Hapana sio dalali Mimi ndio natafuta nyumbaWewe ni dalali? Kwanini usijenge yako kisha upangishe!
Kabisa upo sawa natafuta nyumba ya kupangaLugha gongana. Atakuwa anatafuta nyumba ya kupanga...
Sio ya kupangisha tena??Kabisa upo sawa natafuta nyumba ya kupanga
Ni 200,000\=TshSio ya kupangisha tena??
Kwanini unataka kulipa kwa Dola na sio kwa Tshs? We ni mmarekani?
Kukuza tu mambo.. Ionekane analipa mihela mingi kisa ni dola.. Lakini kibongobongo haizidi 250kSio ya kupangisha tena??