Natafuta nyumba ya kupanga

noella

Senior Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
101
Reaction score
50
Wadau natumai mu wazima.

Nahitaji nyumba ya kupanga yenye vyumba vitatu vya kulala, sebule,jiko, choo na bafu viwe ndani, iwe fenced na geti lake bila kushare, maeneo mazuri yaliyotulia ya mikocheni na kijitonyama.
natanguliza shukrani
 
nipigie 0657 14 5555, 0686 200117,0755 099 291 Thomas
 
ni PM kuna nyumba maeneo ya k'nyama ipo poa sana.....
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…