M manyubhu wa manyubhuke Member Joined May 5, 2018 Posts 56 Reaction score 37 Apr 14, 2024 #1 Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kimara, isiwe mbali na barabara, mwenye nayo please naomba msaada
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kimara, isiwe mbali na barabara, mwenye nayo please naomba msaada
Zemanda JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 10,999 Reaction score 23,499 Apr 16, 2024 #2 Wenye nyumba za kupangisha, mteja ndio huyu hapa amejileta.
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 53,856 Reaction score 99,875 Apr 16, 2024 #3 manyubhu wa manyubhuke said: Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kimara, isiwe mbali na barabara, mwenye nayo please naomba msaada Click to expand... Umepata.Njoo hapa Nzubuka kati Kigoma.Utafurahi.
manyubhu wa manyubhuke said: Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kimara, isiwe mbali na barabara, mwenye nayo please naomba msaada Click to expand... Umepata.Njoo hapa Nzubuka kati Kigoma.Utafurahi.