Kama kichwa kinavyosema,natafuta nyumba.
Sitaki madali. Nataka mwenye nyumba tu awasiliane na mimi.
Maeneo: Mbezi,'Mikocheni
Tozo:Laki tano ndio bajeti yetu,itategemea na eneo husika.
Nyumba: 2-3 bedrooms yenye master
iwe inajitegemea yenyewe.
nategemea kuhamia November mwaka huu.
wasilina nami.