kzba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,355
- 793
Kwa yeyote anaefahamu na alie na taarifa ya nyumba ambayo inapangishwa maeneo ya kurasini mivinjeni hasa zile kota za bandari za chini siyo za ghorofa ani pm, sifa za nyumba iwe 2bedroom kmoja master, well fanced, vingine kama jiko seating room ni vya kawaida ofa yangu 200000-250000 haraka iwezekanavyo