Ipo moja nimehama mwezi ulipita, ipo tungi karibu na shule ya masister.
Geti, kisima cha maji, vyumba vya kulala 4 kimoja ni master,stoo 1,jiko na sebule,
Mimi nina nyumba yangu ipo maeneo ya Tuamoyo yaani sio mbali na mikadi beach. Ninapangisha kwa vyumba vya master. Yaani chumba na choo chake ndani kwa laki kwa mwezi. Na kama unahitaji chumba choo chake na jiko lake ni laki na hamsini kwa mwezi ila viko ktk matengenezo ukitoa kodi nimalizie. Nicheck kwa 0715388666 / 0687672672 kwa kuja kuiona.
Shukran
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.