Natafuta nyumba ya kupanga dar

Natafuta nyumba ya kupanga dar

omereyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
308
Reaction score
91
habari inajieleza hapo juu.maeneo nayopendelea ni kuanzia tazara mpaka taifa,chang'ombe pia sawa ila inategemea.isiwe mbali na mandela road.niwe nalipa miezi mitatu mitatu.chumba na sebule kizuri au kota pia inayojitegemea.
dalali chitaji
 
Sasa chumba na sebule hio sio nyumba bali ni chumba...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom