Natafuta nyumba ya kupanga Arusha

Natafuta nyumba ya kupanga Arusha

sumia

Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
35
Reaction score
8
Nyumba iwe maeneo ya mianzini au sanawari iwe double(chumba na sebule) ikiwa self itakuwa vizur Zaid isiwe mbali na barabara kuu, kodi itatolewa kulingana na ubora wa nyumba mawasiliano 0768600941
 
0764 490 075 mpigie huyu Dalali atakusaidia
 
NiPM haraka kama unataka nyumba masuala ya kupitia kwa madalali yamepitwa na wakati.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom