Tanganyika50
Member
- Dec 8, 2011
- 97
- 19
Wadau wa arusha natafuta nyumba ya kupanga hasa maeneo ya njiro au kijenge mwanzo mwanzo.offer yangu ni 150,000 mpaka 200,000.zaidi ya hapo itategemea vigezo maalum kama muda mfupi wa kulipa pango eg 3 months,ubora wa eneo na anemities nyingine.
Wenye taarifa wanaweza kuni PM au hata kuniwekea namba nikawapigia.
Nawasilisha.
Wenye taarifa wanaweza kuni PM au hata kuniwekea namba nikawapigia.
Nawasilisha.