Natafuta nyumba ya kununua

Natafuta nyumba ya kununua

Wadau nashukuru kwa majibu lakini ili kuondoa usumbufu usio wa lazima ingekuwa ni busara mngetupia picha vilevile nyumba ziwe na nyaraka husika za umiliki
 
Wadau
Ninatafuta nyumba ya kawaida ya kununua maeneo ya Kinondoni ,Tabata ,Mbezi beach ,Kimara ,Mwenge,Knyama ,Makumbusho,Mwananyamala ,Sinza, kurasini ,mtoni nk kwa kifupi isiwe nje sana na mji.Bei isizidi 80m .Majibu kwa walio serious tu!...ku deal na wamiliki ingekuwa bora zaidi...karibuni wadau!!
.

kwa hiyo bei ya 80m utasumbuka sana lakin kuna nyumba ipo tabata kisukuru maeneo ya karibu na SIGRO HOTEL kama utaipenda ni PM. gari inaishia mita 10 kutoka kwenye gate. ina master, sebule, vyumba 3, store, jiko, vyoo vya public na pia ina choo cha nje. kuna maji ya dawasco ingawa hayatoki mara kwa mara, umeme wa luku na eneo kubwa ambalo unaweza kujenga nyumba ya room 4. kwa sasa ina mpangaji analipa 230,000/= kwa mwezi nahitaji 90m karibu kama unahitaji tufanye biashara
 
biashara imekubali halafu nyumba bei rahisi kweli.......
 
picha sina kwa sababu sipo dar ila kuhusu nyaraka za umiliki hati ipo utaonyeshwa utakapokuja kuona nyumba yenyewe
 
Wadau
Ninatafuta nyumba ya kawaida ya kununua maeneo ya Kinondoni ,Tabata ,Mbezi beach ,Kimara ,Mwenge,Knyama ,Makumbusho,Mwananyamala ,Sinza, kurasini ,mtoni nk kwa kifupi isiwe nje sana na mji.Bei isizidi 80m .Majibu kwa walio serious tu!...ku deal na wamiliki ingekuwa bora zaidi...karibuni wadau!!

House - with two apartments: Seat room, Dining room, 2-Bed rooms, 1- Store & Kitchen, 1-Front Verandah, 1- External Toilet + Bath room and Parking area.

Plot size: 600 Square meter (sq.m).
Electricity: Available.
Water is borehole: pure drinking water.(Maji ya kisima ni maji baridi ayana chumvi)

Location: chanika mwisho 1.2km from chanika bus stand (Along a main road from chanika to mvuti).
Selling 80 million T.sh. (Negotiable). All payment should be done in cash for single instrument.
Contact: 0688405123. karibu sana
 
Attachments

  • IMG_20150801_143940.jpg
    IMG_20150801_143940.jpg
    553 KB · Views: 228
  • IMG_20150801_144030.jpg
    IMG_20150801_144030.jpg
    248.1 KB · Views: 185
  • IMG_20150801_144141.jpg
    IMG_20150801_144141.jpg
    581.7 KB · Views: 179
Hii inauzwa Milioni 75, Ipo Mbezibeach Upande wa Chini, dakika mbili kutoka Puma petrolstation.
Contact: 0752 953860
 
Attachments

  • 1445240942187.jpg
    1445240942187.jpg
    43.4 KB · Views: 230
Wadau nashukuru kwa majibu lakini ili kuondoa usumbufu usio wa lazima ingekuwa ni busara mngetupia picha vilevile nyumba ziwe na nyaraka husika za umiliki

Mkuu piga namba hii 0713724242 ni ya mwenye nyumba,ipo temeke mtaa wa maganga karibu kabisa na barabara ya lami,jirani kuna nyumba mpya ya ghorofa,Ina hati halali ya serikali inayosomeka jina la muuzaji.Naamini hutajutia uamuzi wako.
 
Pouwa mkuu
 
Nina nyumba ipo chanika, milioni 70. Ipo maeneo ya Italian. Ina kisima maji baridi, ukuta na parking 2 car.
 
Wadau
Ninatafuta nyumba ya kawaida ya kununua maeneo ya Kinondoni ,Tabata ,Mbezi beach ,Kimara ,Mwenge,Knyama ,Makumbusho,Mwananyamala ,Sinza, kurasini ,mtoni nk kwa kifupi isiwe nje sana na mji.Bei isizidi 80m .Majibu kwa walio serious tu!...ku deal na wamiliki ingekuwa bora zaidi...karibuni wadau!!
Wadau
Ninatafuta nyumba ya kawaida ya kununua maeneo ya Kinondoni ,Tabata ,Mbezi beach ,Kimara ,Mwenge,Knyama ,Makumbusho,Mwananyamala ,Sinza, kurasini ,mtoni nk kwa kifupi isiwe nje sana na mji.Bei isizidi 80m .Majibu kwa walio serious tu!...ku deal na wamiliki ingekuwa bora zaidi...karibuni wadau!!
mkuu ipo nyumba mbagara sabasaba karibu na shule ya st antony nyumba ila umeme, ina maji nyumba imegawanyika ina nyumba kubwa na ndogo nyumba kubwa ina sebule na vyumba vitatu vya kulala na pamoja na choo nyumba ndogo ina stoo na chumba kimoja cha kulala pia ina choo cha nje. INAUZA 50M
njoo pm nikupe picha zake au kama unataka kuja kuiona nitafute kwa 0657623266
 
Mkuu tabata segerea Meja streat kuna nyumba ya vyumba vi 3 78 Million Fensi kwa mawasiliano cheki iyo no 0625 540438
 
Nipo tabata kisukuru maeneo ya kwa swai ninazo 4 za bei tofauti zote zina wapangaji umeme na maji 2 zina hati miliki 2 hazina hati miliki please call if you are serious.
 
House - with two apartments: Seat room, Dining room, 2-Bed rooms, 1- Store & Kitchen, 1-Front Verandah, 1- External Toilet + Bath room and Parking area.

Plot size: 600 Square meter (sq.m).
Electricity: Available.
Water is borehole: pure drinking water.(Maji ya kisima ni maji baridi ayana chumvi)

Location: chanika mwisho 1.2km from chanika bus stand (Along a main road from chanika to mvuti).
Selling 80 million T.sh. (Negotiable). All payment should be done in cash for single instrument.
Contact: 0688405123. karibu sana
Jamani tuoneane huruma. Hiyo bei na nyumba mbona havifanani
 
Kuna nyumba ipo Dodoma Kizota milioni 90 japo bei inaongeleka...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom