Zamazamani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2008
- 1,903
- 828
Ipo 200 tabata kimanga mmiliki mwenyew kabsa
Wadau
Ninatafuta nyumba ya kawaida ya kununua maeneo ya Kinondoni ,Tabata ,Mbezi beach ,Kimara ,Mwenge,Knyama ,Makumbusho,Mwananyamala ,Sinza, kurasini ,mtoni nk kwa kifupi isiwe nje sana na mji.Bei isizidi 80m .Majibu kwa walio serious tu!...ku deal na wamiliki ingekuwa bora zaidi...karibuni wadau!!

Bangi Mbaya sanaIpo 200 tabata kimanga mmiliki mwenyew kabsa
0657444196 au 0712531349.beep hizo tufanye biashara.
Tupeane marejesho tu biashara ikifanyika
Picha Tafadhali MKUUNyumba ipo temeke veternaly milion 60
1km from main road
Gari inaingia hadi ndan
Ina nafasi ya kujenga
Picha whatsap 0714571170
Njoo nyumba ipo Kigogo,ipo sehemu nzuri,vyumba 3 na sebule,bei mil 45. Mawasiliano 0766212206