Natafuta nyumba ya kununua Dar.

MUSINGA

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,073
1,257
Habari waungwana,natafuta nyumba ya kununua ya familia iliyokamilika nifanye kuingia tu na isizidi m70.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Habari waungwana,natafuta nyumba ya kununua ya famikia iliyokamilika nifanye kuingia tu na isizidi m70.
Mwananyamala Komakoma, nyumba za National housing vyumba sita ukumbi kati, eneoo kubwa 80Mil
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Habari waungwana,natafuta nyumba ya kununua ya famikia iliyokamilika nifanye kuingia tu na isizidi m70.
Nyumba ipo mbezi msakuzi milioni 68 tu, ina fensi, tanki la maji, motorpump, madirisha ya aluminium, gypsum na tiles, mawasiliano yangu ni 0689699704
IMG_20170204_100913.jpg
IMG_20170204_100837.jpg
FB_IMG_1485980028760.jpg
FB_IMG_1485980009825.jpg
 
wakuu samahani nilitingwa hizi siku mbili na purukushani ya ugonjwa nawapigia wote mlionipa ushirikiano
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Habari waungwana,natafuta nyumba ya kununua ya famikia iliyokamilika nifanye kuingia tu na isizidi m70.
Makonda anakuona kaka... na hali ngumu hii wewe unatafuta nyumba ya kununua? Unapata wapi pesa ambapo wengine hatupajui?!.. unga x 500...
 
Mkuu Mona hujapiga number 0798676204 AI 0712459985
ntakupigia mkuu kuna mmoja amenionyesha na kesho tutapitia nyingine kama sintiridhika ntakupigia ili nisipige simu huku na huku itakuwa usumbufu kidogo
 
NINAYO NYUMBA KIGAMBONI.NI MWENDO WA DK 5 TU KUTEMBEA KWA MIGUU KUTOKA KWENYE PANTON.IPO KARIBU NA UZUNGUNI GUEST HOUSE.INA VYUMBA VINNE VYA KULALA(KIMOJA NI MASTER),SEBULE KUUBWA,JIKO,STORE,CAR PARK INAINGIA GARI MBILI(ZINAFUNGIWA NDANI),IMEZUNGUSHIWA UKUTA,UMEME NA MAJI YAPO."BEI MIL 90".KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA OFFER.NYUMBA NI YA KWANGU(HAPO HAKUNA DALALI) MAWASILIANO 0767 61 00 68
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom