Akija Kitomai au Dovillenproperty kwamba nyumba inauzwa100M au 300M mnawashushua kwamba haiwezekani nyumba iuzwe kwa bei hizo.
Jamaa anataka nyumba ya 10M mnamshushua kwamba hata kiwanja hapati.
Hebu shikeni moja siyo kama gagulo juu wazi na chini wazi