Natafuta nyumba ya kulala wageni Moshi

Natafuta nyumba ya kulala wageni Moshi

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,423
Reaction score
8,367
Wenyeji wa Moshi naomba kujuzwa nyumba ya kulala wageni iliyopo katikati ya Mji wa Moshi. Gharama isizidi 30,000/=
 
huko moshi
Moshi sahemu gani? Maana umenikaribisha nifikie kwenye nyumba yenu, ambayo umedai kuna nafasi ya kutosha na hakuna mtu. Nipatie anuani kamili. Mwenzio niko serious kweli natafuta sahemu ya kufikia tafadhali.
 
Mkuu kama ni guest ipo ya bei nafuu na mazingira yake ni safi na vyumba ni self container,,,inaitwa DEVOTA bei ni elfu saba ,,ipo mtaa wa daresalaam hapo moshi ,ukichuku uasfir wa pikpik mpka hapo guest ni 1500, mm ndo ninapofikiaga nikifkaga hapo moshi na wki iliyopita nilkuwepo huko.
 
Asante
 
Back
Top Bottom