Jaslaws JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 6,016 Reaction score 5,301 Dec 12, 2013 #1 Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya tabata jamani..
S specter Member Joined Dec 5, 2013 Posts 31 Reaction score 6 Dec 12, 2013 #2 Nyumba ya kupanga au kununua? N kama kupanga ni full house au rum kadhaa?
nzalendo Platinum Member Joined May 26, 2009 Posts 13,061 Reaction score 15,129 Dec 12, 2013 #3 Kama tabata utapata
YouTube JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 936 Reaction score 363 Dec 12, 2013 #4 Jaslaws said: Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya tabata jamani.. Click to expand... funguka vizuri usaidiwe, tabata kubwa, hujali tabata gani alimradi ni nyumba? nyumba ya vyumba vingapi? uwezo wako wa kodi mwisho ngapi?
Jaslaws said: Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya tabata jamani.. Click to expand... funguka vizuri usaidiwe, tabata kubwa, hujali tabata gani alimradi ni nyumba? nyumba ya vyumba vingapi? uwezo wako wa kodi mwisho ngapi?
Kiwa JF-Expert Member Joined Oct 4, 2011 Posts 2,102 Reaction score 910 Dec 12, 2013 #5 wewe wa kiume au wa kike?kuna mzee mmoja ana nyumba tabata anataka binti ambae hajaolewa.kama uko tayari sema
wewe wa kiume au wa kike?kuna mzee mmoja ana nyumba tabata anataka binti ambae hajaolewa.kama uko tayari sema
Fadhili Paulo JF-Expert Member Joined Sep 1, 2011 Posts 3,211 Reaction score 996 Dec 13, 2013 #6 Kiwa said: wewe wa kiume au wa kike?kuna mzee mmoja ana nyumba tabata anataka binti ambae hajaolewa.kama uko tayari sema Click to expand... Huyo mzee ni wa kumuogopa sana.
Kiwa said: wewe wa kiume au wa kike?kuna mzee mmoja ana nyumba tabata anataka binti ambae hajaolewa.kama uko tayari sema Click to expand... Huyo mzee ni wa kumuogopa sana.