Natafuta nyumba-self ya kupanga arusha

Natafuta nyumba-self ya kupanga arusha

Meljons

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
3,105
Reaction score
1,409
Wapendwa wangu wa arusha nisaidieni kupata nyumba ya kupanga kuanzia maeneo ya kwa mrefu mpaka mianzini. Iwe na bedroom 2,kitchen na toilet, na pia bei kuanzi laki na nusu hadi laki 2. Pia yenye geti kwa ajili ya usalama.
 
Kunayo hapa maeneo ya sekei kama bado hujapata ni pm
 
Nasikia Arusha ni mji ghali kuliko dar..

Mbona kodi ndogo hivyo ambayo dar kupata nyumba ya hivyo ni ishu nowdays kwa kodi hiyo
 
ipo ya vyumba viwili, sebule, choo na jiko bei lak 2 unusu.

Hizo nyumba zipo nane (8) kwenye compound 1, so kuna kushare parking, (kuna uzio na geti)

maji ni kushare mita, luku kila nyuma inajitegemea.

mie sio dalali
 
ipo ya vyumba viwili, sebule, choo na jiko bei lak 2 unusu.

Hizo nyumba zipo nane (8) kwenye compound 1, so kuna kushare parking, (kuna uzio na geti)

maji ni kushare mita, luku kila nyuma inajitegemea.

mie sio dalali

dah hapa ni pazuri ila garama hyo siwezi kuimudu. Asante sana.
 
Asanteni bado cjapata, nimewapm plz nijibuni. Thx sana.
 
Mimi ninayo nyumba ipo sanawari ya juu njoo utembelee nitafute 0789 543 339
 
Ina 2 bed room sitting room kitchen store toilet na bathroom ipo karibu na barabara na vifodi vipo so transport easy
 
Habari wakuu, mimi pia natafuta nyumba hapa Arusha yenye sifa zifuatazo:

- Vyumba 2 (sio lazima iwe na master)
- Jiko
- Choo
- Mita ya LUKU ya kujitegemea
- Iwe karibu na kituo cha daladala (angalau mita 300)
- Iwe na tiles (chooni, bafuni na jikoni muhimu sana)
- Iwe na uzio (sijali ku-share compound na mwingine)
- Iwe maeneo ya KIJENGE/MOSHONO
- Isizidi laki 2 na nusu (mwisho laki 3 ila iwe na sifa hizo zote na ZAIDI)
 
Ninayo lakini nauza kama kuna anayehitaji ya kununua.

Regards,
Jonathan.
 
Ina 2 bed room sitting room kitchen store toilet na bathroom ipo karibu na barabara na vifodi vipo so transport easy

Kiasi gani kodi?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
HABAR NATAFUTA CHUMBA SNGLE KIWEPO MIANZIN KARBU NA LAMI KUWE NA MAJI UMEME NDANI YA GETI KODI ISIZID 50 NAMB 0746603531
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom