ni kutoka nyanda za juu kusini
Be specific!!!!!
uc2changanye hapa! southern highland ni kubwa wewe!!
huyo ni wa huko huko Njombe kwenu! aaaala!
ni kutoka nyanda za juu kusini
We we we nafurukuta balaa sema nakosa sapot
Be specific!!!!!
uc2changanye hapa! southern highland ni kubwa wewe!!
huyo ni wa huko huko Njombe kwenu! aaaala!
Unafurukuta bila mpangilio!
Njoo mtaani kwetu kuna bwabwa litakufaa mkuu.
Mtaa gani huo mkuu
hahahaaa, mume mwema umenichekesha sana, eti nayasikia jf tu.....
...pepo lilimkamata huyu bwanamdogo ni baya sana,litammaliza sio masiala...
hujui shaur yako nyama ile ile mabucha tofauti angalie usikwae janga huko una kotafta
Ndiyo tabu ya kuingia tohara hospitalini....ungepitia ile ya porini Ungekuwa unaendesha mkwama km huna akili nzuri!