Tuliosoma boys kaka weng hatunaga maujanja hayo
Unakaa mkoa gani?
Naenda kusema kwa mama ~~~~~~~~~~~~~
mfundishe kama unaweza.....atajua...
Sijui mkeo ni Kabila gani lakini kama mtu wa pwani bado haja chelewa kujifunza,na sijui lakini wewe hasa unachokitaka manake mambo ya ndani yana vitu vingi,kama vile mapenzi na ufundi wake,usafu wa mwili na nyumba,na pia sikuizi kuna watu wanafunda sasa kama unahitaji na unataka kumsaidia mpeleke huko,au mpeke kwa kungwi wangu Tanga anaitwaNimezungumza naye sana, nimejaribu kumfundisha lakin wapi, haoneshi kubadilika leo wala kesho miaka miwili na ushee sasa nahisi kuna vtu adimu navikosa.
Sijui mkeo ni Kabila gani lakini kama mtu wa pwani bado haja chelewa kujifunza,na sijui lakini wewe hasa unachokitaka manake mambo ya ndani yana vitu vingi,kama vile mapenzi na ufundi wake,usafu wa mwili na nyumba,na pia sikuizi kuna watu wanafunda sasa kama unahitaji na unataka kumsaidia mpeleke huko,au mpeke kwa kungwi wangu Tanga anaitwa
mametabu anakaa mikanjuni nimzuri utakuja kunambia..................utafurahia mwanzo mwisho na ukiwa kazini akili iko nyumbani foleni ikikuzingua kwa hamu yakutaka kurudi nyumbani utapanda boda boda....
u wengine bhana ovyo, huoni hata aibu kumsema mkeo humu ndani, inaonesha ni kiasi gani usivojua thamani ya ndoa/mkeo. Eti ni sifuri kitandani yawezekana we mwenyewe ndo sifuri kabisa! Je na yeye akikuleta humu utajisikiaje?
kabila gani huyo mkeo?
wan JF mwenzenu mke wangu ktandani ni sifuri, yaan hanipi mautamu nikatosatsify ni mchovu daily. Nimevumilia nimechoka natafuta demu wa hiari na anayejua kungonoka nifurahie maisha ya mapenzi awe anatokea njombe, mbeye au ruvuma ni pm 4n namba kama upo tayari
u wengine bhana ovyo, huoni hata aibu kumsema mkeo humu ndani, inaonesha ni kiasi gani usivojua thamani ya ndoa/mkeo. Eti ni sifuri kitandani yawezekana we mwenyewe ndo sifuri kabisa! Je na yeye akikuleta humu utajisikiaje?
wewe huna akili sijui ulimpataje huyo mwanamke
anashida huyu mwanamke aliolewa na mwanaume kichaa asiyejitambua
Hovyo
Mpaka unamuoa hukujua hayo???
Kwan wanayajuaje hayo?
Kwa hiyo uliamka tu asubuhi ukaoa?