Nyakwaratony
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 573
- 140
Happy holidays wapendwa wana jamii forum.
Natafuta nyumba ya kupanga Jijini Mwanza.
Sifa:-
1. Iwe na vyumba vitatu vya kulala, sebule na jiko.
2. Iwe maeneo ya barabara ya Airport yaani Makongoro road.
3. Isizidi 2,500,000/=
N.B. Sihitaji dalali kwani wamenilia pesa sana. Wanajamii forum ni ndugu. Tumekuwa tukisaidiana pasipo malipo yeyote. Nami naomba msaada wenu.
PM zinarihusiwa.
Ahsanteni.
Kiseke PPF zipo kama una mtu Mwanza mtume akakague bei ipo chini kidogo ya hiyo ulopendekeza. kuna mtu namcheck nikimpata ntaku PM.
Ushauri Murua,nilitaka kumpatia kama huu.Vile vijumba vya PPF vipo Standard,ijapokua usafiri ndio challenge.Lakini kwa mimi naona kwa Mwanza ndio kunafaa.Kiseke PPF zipo kama una mtu Mwanza mtume akakague bei ipo chini kidogo ya hiyo ulopendekeza. kuna mtu namcheck nikimpata ntaku PM.
Kiseke PPF zipo kama una mtu Mwanza mtume akakague bei ipo chini kidogo ya hiyo ulopendekeza. kuna mtu namcheck nikimpata ntaku PM.
Ushauri Murua,nilitaka kumpatia kama huu.Vile vijumba vya PPF vipo Standard,ijapokua usafiri ndio challenge.Lakini kwa mimi naona kwa Mwanza ndio kunafaa.
hiyo bei uliyoitaja ni kwa mwezi au kwa mwaka?
Ushauri Murua,nilitaka kumpatia kama huu.Vile vijumba vya PPF vipo Standard,ijapokua usafiri ndio challenge.Lakini kwa mimi naona kwa Mwanza ndio kunafaa.
St. Marys, Jellys gari zao zinafika huko
Usafiri hadi 15 jan mambo yatakuwa safi, njia ya kwenda Igombe kupitia uwanja wa ndege inafungwa hivyo mabasi y Igombe yatakuwa yanapitia Kiseke PPF. Vile vijumba vipo poa, kodi ni kuanzia milion 1.5 kwa mwaka.
Habari yako ndugu Ndebile. January imepita na February pia lakini hakuna dalili ya barabara ya Kiseke kufanyiwa kazi.
jembe la CDM Kiwia linafanya kazi. PPF pazuri kama una gari yako, daladala mwisho saa 3 halafu za kugombania kama Mbagala