Usiniabishe Boss.mbona online zipo nyingi?
Dalali acha kuwaibia wananchi....upepo umebadilika sana. Pesa hakuna bei as properties zimeshuka sana...na bado zitazidi kushukaUsiniabishe Boss.
Sifa anazotaja kwa Bajeti yake atapata Pagale au kiwanja sio NYUMBA,
Vinginevyo, anatafuta kutapeliwa tu.
Mkuu nyumba hiyo hapo ipo jkt mbweni pale jeshini karibu na anapokaa saidi lugumi ni nyumba mpya kabisa haija kaliwa na mtu ina uwanja wa sqm 1400 inauzwa milion 800 mpaka 750 mkizungumza vizuri na tajiri kwa mawasiliano piga 07124647771.Vyumba kuanzia vitatu
2.Umbali usiozidi dakika nne kutoka baharini
3.Bei isizidi 600milion
4. Kuanzia tankibovu hadi kunduchi
Contact 0689315582
Note: vigezo vizingatiwe
I spoke from personal practical experience,Dalali acha kuwaibia wananchi....upepo umebadilika sana. Pesa hakuna bei as properties zimeshuka sana...na bado zitazidi kushuka
Mkuu nyumba hiyo hapo ipo jkt mbweni pale jeshini karibu na anapokaa saidi lugumi ni nyumba mpya kabisa haija kaliwa na mtu ina uwanja wa sqm 1400 inauzwa milion 800 mpaka 750 mkizungumza vizuri na tajiri kwa mawasiliano piga 0712464777
hahahahaaaa mkuu usikate tamaa ivo hahahaaa, Mungu wetu anatenda, Magu Jana kukutana Muujiza wake wa kushikana na Lowasa!!Duuuh million 600!?ntaishia kuzisikia.haya kila lenye herì
akaunti yako Ina shs ngapi wewe. unaweza kuta hata 50,000 haunaKwa bei hiyo Mkuu huwezi kupata nyumba labda kiwanja tena cha kubahatisha
Vipi Mkuu umetumwa au!!!!akaunti yako Ina shs ngapi wewe. unaweza kuta hata 50,000 hauna
Teh Teh unaiuzajeMimi ninayo karibu na Bwawa La Mindu Morogoro m450 unapapenda tufanye biashara?