NATAFUTA NYUMBA -ARUSHA 2Bedrooms, Sebule, Jiko Parking. 150,000/= pm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NATAFUTA NYUMBA -ARUSHA 2Bedrooms, Sebule, Jiko Parking. 150,000/= pm

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Smarter, Apr 4, 2011.

 1. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Great Thinkers,
  Natafuta nyumba, ikiwa na vyumba 2 vya kulala, Sebule, Chooo, Jiko na Parking maeneo yeyote Arusha (preferably Njiro, Burka,Nane Nane, isiwe mbali sana na barabara kubwa.
   
 2. M

  Mkomandaa Member

  #2
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Mwana JF, Arusha ni jiji la kimataifa sasa na nyumba ni ghali sana. Kwa sh. 150,000/= siyo rahisi kupata nyumba. Katika maeneo uliyotaja nyumba huanzia laki nne na kuendelea. Hivyo kama unahitaji nyumba kweli ongeza hilo dau utaona wengi watakuandikia.
   
 3. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Asante Mkuu Kwa Ushauri,,
  Ingawa laki nne per month Kwa Mtanzania wa kawaida ni ngumu, naamini nyumba zipo mpaka 200,000/= to 250,000/= and less........Tatizo ni information tu kuzipata........now maisha ni magumu sana kwa watu wengi......ngoja tuone what will get out of this.. -----
   
 4. Wit

  Wit JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 417
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  niliwahi kuwa huko,mzee sidhani kama chini ya laki tatu utapata!hebu endelea kuskilizia wadau waje,ila kwa burka labda 2 mpaka 2 na nusu
   
 5. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Mkuu nyumba arusha nyingi nzuri wanaanzia laki 2 na kuendelea..UNICTR wameshababisha nyumba kuwa ghali hasa hiyo mitaa ya njiro unayotaja ukipata kwa 150k nyingi zinakuwa na tatizo la parking au maji
   
 6. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #6
  Apr 5, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwa kimango ulioko nacho, ungesema pande za ungaleloo, matejoo, sanawari ya juu, majengo... lakini siyo Njiro.
  Vipi pande za sekei?
   
 7. M

  Mary Chuwa Senior Member

  #7
  Apr 6, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Naamini utapata ndugu yangu ngoja niwaulize wahusika waliotusaidia sisi then nitakupm
   
 8. d

  daisy Senior Member

  #8
  Apr 6, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Aisee hayo maeneo uliyotaja unaweza kupata nyumba lakini sio karibu na barabara.

  Vipi maeneo ya sakina pia ni pazuri kuna ambayo rafiki angu anategemae kuhama mwisho wa mwezi huu ngoja nicomfirm alafu nitakujulisha hata kwa kukupatia namba ya landlord.

  Arusha nyumba ni issue sana ni rahisi kupata kazi kuliko nyumba.
   
 9. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #9
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Vipi Daisy any news? Amehama? I will appreciate sana
   
 10. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #10
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Asante Mary, Naamini pia, If you hear anything Please.....
   
 11. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #11
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ni information tu, Inaawezakana nikapata.
   
 12. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #12
  Apr 11, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kweli mkuu hawa jamaa wameharibu maisha ya arusha kabisa!
   
 13. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #13
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ila wanaondoka sasa, nadhani mambo yatabadilika sana tu
   
 14. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #14
  Apr 11, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  toka 2008 ilisemekana wanaondoka lakini wapi.waende zao bana tushachoka kununua tango moja kwa sh 300.
   
Loading...