Natafuta nyimbo hizi

Joined
Sep 23, 2017
Posts
20
Reaction score
6
Wakuu Natafuta wimbo wa OTTU JAZZ BAND_PANAPOTOKEA VITA. Ameimba Tx MOSHI. Wimbo unazungumzia Madhara ya vita huku zikitajwa baadhi ya nchi zilizokuwa na machafuko wakati huo Liberia na Somalia. Nakumbuka baadhi ya mistari yake mwishoni wanaimba ''Tunaomba amani eeeh, Dunia yote iwe na amani,,,,,,''. Naomba mweye uwezo wa kuupata anitumie tafadhali! What's 0621449232
 
Wimbo ulitoka mwaka 2012. Ulifanyika katika studio za MAHEWA RECORDS MOROGORO chini ya Producer WILE MATAJIRI. ''Kwenye jua nitamulika (mashikolomageni), kwenye mvua nitamulika(mashikolomageni), Nitawasha tochi niwamulikie muone msijikwae'' hiyo ni chorlus.
 
Mwenye wimbo wa Dully Sykes _Bwimbwi (Anabembea) wimbo umepigwa kama mchiriku. Naomba anitumie 0621449232
 
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…