Natafuta nokia x201

Natafuta nokia x201

ngosha2011

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
681
Reaction score
87
Natafuta nokia x201 used,mwenye nae aniambie tufanye biashara nipo mwanza,natumia nokia 5130 express music nimeichoka tu.asanteni
 
Ipo kaka katika hali nzur,ni sawa na mpya,ila nipo dar es salaam,namba yngu 0655674747
 
Mtafute zembwela na maiko baruti ndio mabalozi wa Nokia x201 original nyingine famba hujntao!
 
We kama huna tembea mbele,kwani dukani sizioni?kipato changu kidogo ndio maana natafuta used,
 
Nimeku pm mkubwa kama vipi nami napatikana kwa namba hii 0755065418,au sema bei nijue!
 
Unataka nokia n8? Ipo kwa sh 300,000 ni used toka finland
 
Back
Top Bottom