Natafuta nokia x2

Apamo

New Member
Mar 31, 2012
3
0
Mwenye nokia x2 mpya ata kama imetumika isiwe na kasoro yoyote au mwenye nokia 2700
 
Me x2 na nauza coz sina ela ya kula pasaka ni pm,naongea ukweli ndugu ila nipo dar sjui we uko wap? Na bei naanza130000 maongezi yanaruhusiwa.
 
u tutupe maujanja yake hiyo simu mwenyewe naisikia sikia tu ila sijajua maujanja ya makila kitu
 
Back
Top Bottom