BONAVENTURE KACHILA Member Dec 27, 2012 83 42 Dec 28, 2012 #1 Wana JF,ni wapi wanauza CD Software za Acoustica Mixcraft 6 hapa TZ?
vanmedy JF-Expert Member Oct 12, 2011 2,698 1,395 Dec 28, 2012 #4 BONAVENTURE KACHILA said: Nina laki 2 Click to expand... mnh!!??.. Ukipata kwa bei hiyo najinyonga...
BONAVENTURE KACHILA said: Nina laki 2 Click to expand... mnh!!??.. Ukipata kwa bei hiyo najinyonga...
BONAVENTURE KACHILA Member Dec 27, 2012 83 42 Dec 28, 2012 Thread starter #5 Mkuu,we unasemaje?Ndo tunaanza biashara!Sitanii
vanmedy JF-Expert Member Oct 12, 2011 2,698 1,395 Dec 28, 2012 #6 nlinunua last month..,tena baada ya sound mzigo nkaipata kwa mia3... "jamaa alikuwa mwanangu''.. So hapo jikusanye atleast 280k BONAVENTURE KACHILA Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
nlinunua last month..,tena baada ya sound mzigo nkaipata kwa mia3... "jamaa alikuwa mwanangu''.. So hapo jikusanye atleast 280k BONAVENTURE KACHILA
BONAVENTURE KACHILA Member Dec 27, 2012 83 42 Dec 28, 2012 Thread starter #7 Mkuu nipe namba za cm tuongee