S sudirashid New Member Joined Feb 21, 2025 Posts 4 Reaction score 7 Mar 21, 2025 #1 Habari zenu Natafuta Nissan murano. Ya mwaka wowote. Nina sh 8m sina ya ziada. Mwenye nalo anitaarifu humu
Habari zenu Natafuta Nissan murano. Ya mwaka wowote. Nina sh 8m sina ya ziada. Mwenye nalo anitaarifu humu
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 33,670 Reaction score 97,414 Mar 21, 2025 #2 Kuna njia nyingi za kupunguza mwili, ungeangalia nyingine.
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 14,229 Reaction score 32,034 Mar 21, 2025 #3 Mad Max said: Kuna njia nyingi za kupunguza mwili, ungeangalia nyingine. Click to expand... Zinashida gani hasa inayowanyanyasa
Mad Max said: Kuna njia nyingi za kupunguza mwili, ungeangalia nyingine. Click to expand... Zinashida gani hasa inayowanyanyasa
Offshore Seamen JF-Expert Member Joined Mar 9, 2018 Posts 5,874 Reaction score 15,161 Mar 22, 2025 #4 VQ35 mfalme wa barabara
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 30,207 Reaction score 54,457 Mar 22, 2025 #5 DR SANTOS said: Zinashida gani hasa inayowanyanyasa Click to expand... CVT gearbox (bado inatumia ile ya pulley, sio reliable) ,engine 3.6 V6 lt petrol engine? Can you keep up na wese? Advantage ni kwamba ina powerful engine na ukipata 4x4 inapita kokote. Ila major issue ni hizo
DR SANTOS said: Zinashida gani hasa inayowanyanyasa Click to expand... CVT gearbox (bado inatumia ile ya pulley, sio reliable) ,engine 3.6 V6 lt petrol engine? Can you keep up na wese? Advantage ni kwamba ina powerful engine na ukipata 4x4 inapita kokote. Ila major issue ni hizo
S sudirashid New Member Joined Feb 21, 2025 Posts 4 Reaction score 7 Mar 22, 2025 Thread starter #6 Mwenye nalo aseme
Brian blvk Member Joined Feb 11, 2019 Posts 60 Reaction score 96 Mar 22, 2025 #7 Mad Max said: Kuna njia nyingi za kupunguza mwili, ungeangalia nyingine. Click to expand... Dah😂😂