sudirashid
New Member
- Feb 21, 2025
- 4
- 7
Habari zenu
Natafuta Nissan murano. Ya mwaka wowote. Nina sh 8m sina ya ziada. Mwenye nalo anitaarifu humu
Natafuta Nissan murano. Ya mwaka wowote. Nina sh 8m sina ya ziada. Mwenye nalo anitaarifu humu
Zinashida gani hasa inayowanyanyasaKuna njia nyingi za kupunguza mwili, ungeangalia nyingine.
CVT gearbox (bado inatumia ile ya pulley, sio reliable) ,engine 3.6 V6 lt petrol engine? Can you keep up na wese?Zinashida gani hasa inayowanyanyasa
Dah😂😂Kuna njia nyingi za kupunguza mwili, ungeangalia nyingine.