Natafuta Nissan March new model 2004 kwa 3 million

Frank jb

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2014
Posts
418
Reaction score
122
Natafuta nissan march new model ile yenye shepu kama bito kwa 3 million kwa aliyenayo anijulishe kwa 0716 002323
 
mkuu ingia mtandaoni utafute huko utapata ya chaguo lako...
 
Kuna jamaa yangu anayo ila ina mapungufu machache...haina engine, gearbox wala viti,! Nimpe namba yako!?
 
Hivi nyie watu mnajua maana ya NEW MODEL???? kukaririi sio kuzuri
 
Hahaaa..hahaaa mkuu usiseme mapungufu machache sema jamaa yako anauza scraper na kwa hela iliyosemwa ndo inafaa kabisa.
 
mi magari ata kama siyajui... ila hii pesa haitoshi...
 
Frank vimeo sasa vinakudatisha.
Kuna siku utasema unataka Hammer kwa milioni sita
na nikiitaka nitaipata tu. Halaf kuna watu hapo chini baadh yao wanaropoka tu eti mwingine anasema kwa bei hiyo siwez kupata! M ninazipata na ninauza kwa faida sasa wengine wanaropoka hawajui ninachokifanya zanz we unanijua mi ni wa kununua na kuuza kwa hivyo waache waendelee kuropoka tu nshawazoea. Nakutakia jpil njema mkubwa zanz
 
mi magari ata kama siyajui... ila hii pesa haitoshi...
Ujui ndo maana unasema hivyo hii ndo biashara yangu nikitaka hata gar la 2 milion napata ila inahitaji uvumiliv kwahivo usiwaige hao wanaopiga majungu kwakuwa nimeishawazoea
 
Hivi nyie watu mnajua maana ya NEW MODEL???? kukaririi sio kuzuri
We c umekariri ya shemej yako? Kuwa na adabu ukiona hauna cha kuongea n bora ukanyamaza kuliko kukurupuka na kuongea
 
na nikiitaka nitaipata tu. Halaf kuna watu hapo chini baadh yao wanaropoka tu eti mwingine anasema kwa bei hiyo siwez kupata! M ninazipata na ninauza kwa faida sasa wengine wanaropoka hawajui ninachokifanya zanz we unanijua mi ni wa kununua na kuuza kwa hivyo waache waendelee kuropoka tu nshawazoea. Nakutakia jpil njema mkubwa zanz
Poa mkuu,nakuaminia,ila nasikia huwa unaenda kwa mganga kabla huja post,ili mwenye nayo apate shida ili akuuzie.
Hahaha,sasa hivi utasikia mtu anakuuzia kwa 2,500,000,shida haina adabu kweli.
 
Teh teh teh! Uwiiii! Umenichekesha saana leo ila huwa siendag kwa waganga!
 
Back
Top Bottom