Natafuta NGOs za kujitolea

Natafuta NGOs za kujitolea

roytmeller

Senior Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
109
Reaction score
18
Habar, mimi ni kijana mwenye umri kadhaa, napatikana dsm, elimu yangu ni Advance diploma in Business Administration (B.A) toka nimalize huu ni mwaka wa tatu sasa cna ajira, na nimekuwa nikikosa nafasi ya kuajiriwa kwa sababu ya experience, hivyo basi kama kutakuwa na shirika lolote mnalolifaham na linahitaj volunteer, msisite kunifahamisha au kama kuna kazi ya mauzo(sales) pia npo
 
Back
Top Bottom