ntita
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 513
- 285
Nipo kwenye likizo ya mwisho wa semester, nilitamani sana kufanya kazi (kwa kujitolea) na NGO hasa inayojihusisha na elimu au watoto.
Nimejaribu kuangalia kwenye directory ya NGO tatizo ni kwamba physical address ziko so general(wilaya na mkoa) na hakuna mobile numbers, naomba kwa mwenye kujua hizo details za NGO kwenye hizo category anisaidie.
Ziwe ndani ya mkoa wa Dar es salaam.