Habari wana Jamii forum,
Napenda kuchukua fursa hii kutafuta mtu ambaye ana uzoefu wa kutosha kwenye Networking hasa ambaye ameshafanya kazi au project ya ISP kwa hapa Tanzania, kuna mradi nataka kuuanzisha so kama kuna yeyote ambae ni mbobezi kwenye ISP business aje tuongee biashara.
PM me kama ikikuhusu