ladyisa JF-Expert Member Joined Aug 23, 2014 Posts 660 Reaction score 149 Apr 13, 2015 #21 A mia sumbawanga
kazikwanza1981 JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 1,577 Reaction score 729 Apr 13, 2015 #22 Luthar said: Kulingana na nchi hii kuelekea kusiko julikana nibora nifanye ustaharabu Click to expand... Nakushauri uamie Zanzibar. Kisiwa cha marashi ya karafuu.
Luthar said: Kulingana na nchi hii kuelekea kusiko julikana nibora nifanye ustaharabu Click to expand... Nakushauri uamie Zanzibar. Kisiwa cha marashi ya karafuu.
KISHINDO JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 2,206 Reaction score 1,964 Apr 13, 2015 #23 Mwenzenu yuko serious, ninyi mnamdhihaki tu na kutaka misifa. Mi nakushauri anzia kwanza hapo bondeni then itakuwia simple kwenda kwa Obama au kwa Malikia
Mwenzenu yuko serious, ninyi mnamdhihaki tu na kutaka misifa. Mi nakushauri anzia kwanza hapo bondeni then itakuwia simple kwenda kwa Obama au kwa Malikia
nzalendo Platinum Member Joined May 26, 2009 Posts 12,901 Reaction score 14,611 Apr 13, 2015 #24 Luthar said: Kulingana na nchi hii kuelekea kusiko julikana nibora nifanye ustaharabu Click to expand... Nenda Rwanda
Luthar said: Kulingana na nchi hii kuelekea kusiko julikana nibora nifanye ustaharabu Click to expand... Nenda Rwanda
milioni milioni JF-Expert Member Joined Mar 25, 2013 Posts 1,845 Reaction score 1,066 Apr 13, 2015 #25 Nenda Iraki nasikia wanaujenga tena ule mnara wa babeli utapata ajira.
super nova JF-Expert Member Joined Aug 12, 2014 Posts 1,478 Reaction score 1,099 Apr 13, 2015 #26 Yemen mkuu.
Bahati furaha JF-Expert Member Joined Jul 11, 2012 Posts 3,077 Reaction score 1,439 Apr 13, 2015 #27 simanyane said: Mkuu usimdanganye mwenzako wakati pamoja na imani zao kali hawakutaki wanakimbilia nchi za makafiri Click to expand... Hata katika hao wenye misimamo mikali wapo makafiri. Ni wepi hao unaowazungumzia?
simanyane said: Mkuu usimdanganye mwenzako wakati pamoja na imani zao kali hawakutaki wanakimbilia nchi za makafiri Click to expand... Hata katika hao wenye misimamo mikali wapo makafiri. Ni wepi hao unaowazungumzia?
S simanyane JF-Expert Member Joined Apr 10, 2015 Posts 2,245 Reaction score 720 Apr 13, 2015 #28 Bahati furaha said: Hata katika hao wenye misimamo mikali wapo makafiri. Ni wepi hao unaowazungumzia? Click to expand... Wanaojilipua
Bahati furaha said: Hata katika hao wenye misimamo mikali wapo makafiri. Ni wepi hao unaowazungumzia? Click to expand... Wanaojilipua