Dany Mrushi
Member
- Feb 10, 2016
- 7
- 1
Habari wana jf,mi ni mwanafunzi wa D I T nasoma electronics and telecommunications engineering mwaka wa piili diploma,natafuta field(practical training) kwenye electronics kwa muda wa miez 3 kuanzia August 2016,nahitaji kua competent kwenye electronics...Asanteni napatikana dar