Natafuta nafasi ya mwanafunzi wa form one.

Natafuta nafasi ya mwanafunzi wa form one.

mtu bati

Senior Member
Joined
Mar 29, 2021
Posts
117
Reaction score
129
Nina mdogo wangu wa kiume kapangiwa form one shule ya serikali ya kutwa. Yuko Arusha na alisoma shule ya masister kwa jina Teresa nuzzo. Alifanya vizuri na ni very bright. Kama Kuna mtu Yuko Arusha mjini na anaweza kunipa connection ya kupata shule ya ilboru au Arusha sec anicheki. Nataka ajoin form one. Nitampa kitu kidogo.
0628740870
 
Back
Top Bottom