Habari zenu mabibi na mabwana,ninamdogo wangu wa kike kahitimu form four ana Div four ya point 27 namtafutia nafasi ya kusoma (Chuo) hasa hasa Nursing,Kilimo or Teaching vyenye ada dogo kuanzia Laki 7 na kushuka chini kwa mwaka
Natanguliza shukurani za dhati.
Nashukuru mkuu japo Nursing nasikia kwa mwaka huu tayari Deadline imeshapita..labda kama unahabari kuhusu chuo cha kilimo nacho chaweza kufaa..maana Dogo ana C ya Bios na C ya Civics mengine yote ni D isipokua Math and kiswahili