Natafuta Nafasi ya kujitolea

Natafuta Nafasi ya kujitolea

Walter Rodney

Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
8
Reaction score
2
Habari za humu wakuu,,Mimi ni muhitimu wa shahada ya Taaluma ya Maendeleo (BA-DS) kutoka University of Dodoma mwaka 2022.

Lengo la kuandika huu uzi ni kuomba connection ya nafasi kujitolea kwenye Taasisi za serikali au Taasisi binafsi,itakuwa vizuri ikiwa mkoa wa Mbeya hasa mbeya mjini.

Natanguliza shukrani 🙏
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom