Natafuta nafasi ya kujitolea kwenye mashirika ya umma na binafsi

jaste

Member
Jun 13, 2021
9
9
Habar ndgu. Naitwa Justine joseph, ni mwanafunzi Katika chuo Cha mt augustine tawi la Arusha. Nasoma kozi ya UTALII (bachelor of science in tourism and hospitality management).

Mbali na career yangu hiyo napenda na natafuta Kazi ya kujitolea kwa jamii ikiwa ni kwa mashirika ya umma au binafsi kwa muda wa ziada na weekend katika nyakati tofauti tofauti.

Hii ni kwasabbu napenda kuwa na ujuzi zaid ya hivi nilivyo Sasa (tour guide and tour designer in our university).
Hivyo. Napenda kufanya Kazi katika

Career yangu(tourism)

Kusaidia jamii kama utoaji elimu na shughuli zingine.

Ahsanteni.
Namba yangu 0769168678
E_mail. justinenyamabwa@gmail.com
 
Tutaftane, nakutext WhatsApp
 
Back
Top Bottom