Natafuta nafasi ya kijitolea (volunteer au internship)

Huu mfumo wetu huu da!

Mwenye Elimu anatafuta pa kujitolea mwenye Kazi anatafuta Elimu!
 
Age ya 24 una masters?

Huo umri ndo mtu anapata degree ya kwanza

Ulianza shule ukiwa na miaka mingapi? I mean STD l. 4 years?
 
Nimemaliza mwaka Jana degree ya kwanza B a in economics n statist,1996

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye maelezo umeandika una Msc. in statistics hapa unasema umemaliza BA. in economics mwaka jana. Mbona academic background yako inatia mashaka,,,,masters umeanza kusoma mwaka gani na ulichukua muda gani kumaliza masters yako?
 
Soma vizuri, nimesema ending of course work composition,nikimaanisha nipo semester ya mwisho ya kusoma darasani,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom