Natafuta nafasi ya kazi

Natafuta nafasi ya kazi

My beginning

Member
Joined
May 31, 2023
Posts
13
Reaction score
9
Natafuta Fursa ya Ajira – Legal Assistant / Company Secretary / Personal Secretary / Legal Consultant

Mimi ni binti aliyehitimu Shahada ya Sheria, naishi morogoro, mchapakazi, mwaminifu, na mwenye maadili ya kazi. Nina hamasa ya kutumia taaluma yangu kusaidia kampuni, taasisi au mtu binafsi kufikia malengo yao kwa ufanisi na weledi.

Natafuta nafasi kama:
📌 Legal Assistant
📌 Company Secretary Assistant
📌 Personal Secretary
📌 Legal Consultant

Niko tayari kuanza mara moja, kujifunza, na kutoa mchango chanya.
Wasiliana nami kwa DM au simu 0765504074.
Asanteni.
 
unajua program za illustrator na designing au hata publisher
 
Back
Top Bottom