Habari wakuu, kama tittle yangu inavyo jieleza hapo juu mm ni kijana wa kitanzania, jinsia (me) nimehitimu diploma ya ubora wa maji chuo cha maji Singida mwaka 2025. Nilikuwa natafuta nafasi ya kazi kwenye kiwanda chochote au kwenye mamlaka yoyote ile ya maji hapa mnchini kwani ninauzoefu wa kutosha katika maswala mazima yanayo husu maji.
Pia naweza kufavya maswala mazima ya kutibu maji taka yanayotoka viwandani yani (waste water treatment) ,kuendesha mitambo ya R.O yani (Reverse osmosis water treatment plant) na hata kufanya kazi na Quality control (QC) na Quality Assurance (QA)
Pia naweza kufanya hata kazi mashuleni kwaajiri ya kuandaa maswala mazima ya maabara kwaajili ya wanafunzi kufanya practical.
Kwa mawasiliano zaidi unawez nicheki kwa namba 0625030019 Ahsante sana