Utapata unayemtaka. hata mwenye bikira utampata. wapo wengi tu. we pita kimya kama unaona haikuhusu.mimi nilienda mbali zaidi NILITAFUTA MWENYE BIKRA ndo iwe mtoto kwangu kwaheri UKIOA MKE MWENYE MTOTO SUBIRIA KUKOSA FURAHA YA NDOA
WALAU HATA ASIYE NA BIKRA SIYO MWENYE MTOTO
Wewe umepata au mpaka leo bado unasugua bench...![emoji3]yeye alisema anataka mwanaume wa aina gani?
badoWewe umepata au mpaka leo bado unasugua bench...![emoji3]
NISHAMPATA kama umekosa mtaani kwako utampata humu usingezalishwa uone miaka 22 ungeshakuwa ndani ya ndoa umezalishwa nani akubebe jiuze mama uokote mapompolilo wenzio humuUtapata unayemtaka. hata mwenye bikira utampata. wapo wengi tu. we pita kimya kama unaona haikuhusu.
Natafuta mke:Habari JF Members,
Mimi ni mama wa mtoto mmoja nahitaji mwenza aliye serious.
Mwanaume ninayemuhitaji awe na umri kuanzia miaka 34-45.
Awe tayari kuwa baba wa mtoto niliyenaye, awe na upendo wa kweli.
zaidi kuhusu mimi karibu Pm
Mbona wanaume tupo wengi tu,au unataka wenye Range Rover...bado
Thanks. kwa Ushauri wako. Isaya 7:7NISHAMPATA kama umekosa mtaani kwako utampata humu usingezalishwa uone miaka 22 ungeshakuwa ndani ya ndoa umezalishwa nani akubebe jiuze mama uokote mapompolilo wenzio humu
TUNAWAAMBIA JITUNZENI PAPUCHI ZENU MNAGAWA TU MNAANZA KUTAFUTA WAUME WA KUWAOA MITANDAONI
0685335665 tuwasilianeHabari JF Members,
Mimi ni mama wa mtoto mmoja nahitaji mwenza aliye serious.
Mwanaume ninayemuhitaji awe na umri kuanzia miaka 34-45.
Awe tayari kuwa baba wa mtoto niliyenaye, awe na upendo wa kweli.
zaidi kuhusu mimi karibu Pm
Sina haja ya kukueleza kuhusu yalopita. Ila kuwa makini na mdomo wako. Najua mwenyewe nilikotokaNISHAMPATA kama umekosa mtaani kwako utampata humu usingezalishwa uone miaka 22 ungeshakuwa ndani ya ndoa umezalishwa nani akubebe jiuze mama uokote mapompolilo wenzio humu
TUNAWAAMBIA JITUNZENI PAPUCHI ZENU MNAGAWA TU MNAANZA KUTAFUTA WAUME WA KUWAOA MITANDAONI
ahahaaa aya mimi sina mtoto ila nataka mbaba miaka 45 kwenda juu aliechoka maisha kabisamimi nilienda mbali zaidi NILITAFUTA MWENYE BIKRA ndo iwe mtoto kwangu kwaheri UKIOA MKE MWENYE MTOTO SUBIRIA KUKOSA FURAHA YA NDOA
WALAU HATA ASIYE NA BIKRA SIYO MWENYE MTOTO
Mkuu Naona umetoa ya moyoniTukijaga PM munatijibu Hovyo
Bwana Mungu asema hivi ujitunze MJUE MUME BAADA YA NDOA je ulichokifanya ni halali? okay kama sio halali ungeaza kwanza kujieleza ulipotelezaThanks. kwa Ushauri wako. Isaya 7:7
hahaha katika maisha miaka 40 ndo muda wa kuanza maisha ko unamtaka alietengeneza njia kabisa bora umtafute dogodogo wewe ndo umtengenezee njia UMLEEEEahahaaa aya mimi sina mtoto ila nataka mbaba miaka 45 kwenda juu aliechoka maisha kabisa
hajaninyima. na nilipomkosea nishatubu so najua wangu yupo tu. ata kama atachelewa.Bwana Mungu asema hivi ujitunze MJUE MUME BAADA YA NDOA je ulichokifanya ni halali? okay kama sio halali ungeaza kwanza kujieleza ulipoteleza
soma isaya 7;12 umemjaribu bwana Mungu wako kwa kulivunja agano lake kwetu mpaka umri huo kakunyima mume
Inaonekana hujalisoma neno vizuri Mungu alikupa huyo aliekutoa bikra ndie mumeo halali wako maana ushafanya nae maaganohajaninyima. na nilipomkosea nishatubu so najua wangu yupo tu. ata kama atachelewa.
Yah sometimes wanazinguaga sana Single Moms wengine kuish nao kaziMkuu Naona umetoa ya moyoni
Hongera kwa kujua neno? Ya kale yamepita naganga yajayo.Inaonekana hujalisoma neno vizuri Mungu alikupa huyo aliekutoa bikra ndie mumeo halali wako maana ushafanya nae maagano
kama hujui maana ya bikra kibiblia nakuomba soma kabila ya Reubeni katika kutoka pindi wapo kuchunga binti alipotumwa awafuate huko na akabakwa je biblia inasemaje na kwanini alijinyonga
kama haitoshi njoo agano jipya Mathayo 1;20 pale malaika akamtokea Yusufu je unahisi kwanini yusufu aliingiwa na hofu kumuoa Bikra Maria?
hebu mrudie mumeo kama una mawasiliano nae