Natafuta mwenza mwanamume

Status
Not open for further replies.
Utapata maana walioko kitaa, barabarani ndio hao wapo humu. Kila la heri ❤️ Mungu akutangulie best
 
Tafadhari ambatanisha picha nne za mazishi ya Mmeo kama ifuatavyo:-
1. Mwili wake ukiwa kwenye jeneza
2. Kaburi lake
3. Cheti cha kifo.
4. Vyeti vya kuzaliwa vya watoto kwa uthibitisho zaidi.

Haya tulikubaliana kwenye kikao cha 23
 
Nije nikuone au nafasi ishabebwa
 
Mimi ni macrame moshi nakufaa?
 
Nionjeshe kwanza ndio nitakufikiria
 
Mungu akuongoze vyema kasoro yangu mfupi tu.
 
Ulipata? Kama bado nijaribu bahati yangu ila umri ndo kipengele.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…