Kila la kheri, japo nikiona nyuzi za hivi namkumbuka my G aliyekuwa kanizidi 4yrs na nilimchagua yeye kwasababu niliamini atakuwa mama bora kwa wanangu kutokana na mimi kuamini kuwa mtu mzima kapitia mengi atatulia ila yaliyotokea eh🚶🚶🚶 but huwa namkumbuka sana nikipata kilaji.