Natafuta Mwenza Muislam (mume)

Sifa za baby wangu😅😅 nimtakae:
  • Muislam
  • Kuanzaia miaka 34 na kuendelea
  • Mrefu wastani
  • Mstaraabu na mcheshi
  • Ukiwa na watoto sawa
  • Aijue dini kiasi

*Sifa zangu ni miaka 34, mweupe kiasi, nina mtoto mmoja, niliwahi olewa.
 
Sifa za baby wangu😅😅 nimtakae:
  • Muislam
  • Kuanzaia miaka 34 na kuendelea
  • Mrefu wastani
  • Mstaraabu na mcheshi
  • Ukiwa na watoto sawa
  • Aijue dini kiasi

*Sifa zangu ni miaka 34, mweupe kiasi, nina mtoto mmoja, niliwahi olewa.
Unaishi wapi!?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…