Natafuta mwenza (mke)

Kutire kabati ya mbehoo?, Kutire Doble cebin kutire umbe ya kisasa? Kutire nguku tsa kisasa?
 
Mkuu kama ulivyoelekezwa humu wenzio wamepata wake kibaoo ,ila wanaweka picha zao , ebu Fanya fasta kabla hawajakufuta maana uu mgeni wewee hujui taratibu za uku
 
tatizo lako una ID nyingi!!!!
 
Natafuta mwenza (mke) umri miaka 25 - 35 mwenye kujielewa , elimu kidato cha nne na kuendelea,dini yoyote.
umri wangu ni miaka 35
elimu digrii
kazi ni mjasiliamali
naishi Dar
kwa aliye tayari tafadhari ni PM
 
huko unakoishi hakuna wasichana?😡😡😡😡😡😡
 
Kuna nyuzi 3 humu za wasichana wanaotafuta wenza, zitafute hizo nyuzi kisha uwapm.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…