Natafuta mwanaume wa kunioa

Nipo hapa, mimi ndiye mmiliki wa gaza kwa sasa hivi
 
😂😂😂Haya ndo madhara kuweka simu karibu na watoto....haya ebu rudisha simu ya baba.
 
kama mwezi huwezi kuandika unaandika mwenzi na unataka mwanaume mwenye 900m jijue wewe ni mpuuzi wa mwisho na itaishia kuolewa na mlinzi wa vunjabei
 
Na wewe unachangia nini kwenye maendeleo ya huyo mwanamme? Kwa kifupi, unaleta nini kwenye maendeleo ndani ya huo uhusiano wenu? Umesoma, ni mvaa hijab tu, mbea, hunuki makwapa, papuchi na mdomo, na umalaya umeacha lini, umetoa mimba ngapi mpaka hivi sasa?
 
Ok. Ukiachana na SEX unakitu gani kingine cha kuoffer kwake?!
 
Wewe Una nini!?
 
RE YOU SERIOUSLY CAM TO THE DM
 
mkuu ushaolewa? kama bado tuwasiliane
naona na qualify kukuoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…