Njoomi ni binti natafuta mwanaume atakayekuja kuwa mume na baba watoto wetu tutakaopata
awe mkristo mi pia ni mkristo
awe na urefu na fut 6
awe kazi ya kutunza familia
umri 32-38
asipende sifa ambazo hana aseme ukwel kwani ukwel utakuweka huru
awe na nguvu za kutosha mi michepuko siwezi ivyo ajue ntamtegemia sana yeye sehemu hiyo kunyimana mwiko labda kama mmoja anaumwa
mengine tutaongea
povu ruksa unatoa ya moyon mwako mi ayaniusu
Kigezo cha umri kimenitoa kwenye qualificationMbona sioni wanaume humu jamanii....
Hebu mkuje mpimwe nguvu
OoohKigezo cha umri kimenitoa kwenye qualification
Basi ngoja nije kama umri sio kesi sanaOooh
Nkafikiri nguvu bhanaa
Wanaume ndio hawa wanajidai wanawake wanatafuta wachumba!Mbona sioni wanaume humu jamanii....
Hebu mkuje mpimwe nguvu
AiseeeeWanaume ndio hawa wanajidai wanawake wanatafuta wachumba!
Mwanamke anajiita mKGB...!
Mfuate mwenye uzi mkuuBasi ngoja nije kama umri sio kesi sana
Oooho kumbe sio wewe mi nilikua nimeanza safari ya kujaMfuate mwenye uzi mkuu