Natafuta mwanaume mwenye malengo ya ndoa

Kweli iliandikwa kuwa utafika wakati watakuja na kusema, ...tunaomba japo tuitwe kwa jina lako.....endelea kuweka masharti magumu tu.

wimbo: Msichana wa sura aaa nzuriiii....kitu gani kinakufanya usiolewe....elimu unayo ya kutosha hata ng'ambo ukaenda ukarudi..oooo dada....usiweke maringo kwa vijana....ona wadada wa nyuma yako...wameolewa wamekuacha ukibabaika....
 
Kama unajali na una heshima hizi ni sifa ambazo wewe kama wewe huwezi kujijua mpaka watu wanaokuzunguka wakupe na mi vigezo vya umri tu ndio hutanipata
 
22 yrs unaitaka ndoa. Still young. Ungefikisha hata 25 ndio uanze mchakato. Watu wanalia kila siku humu..huwaoni? Kila la kheri..utampata!
We mwache tu hawa hawaelewi hata maana ya ndoa ukimuuliza hapo atakuambia ni kumpa tendo aridhike
 
Mimi na extreme used wapi na wapi??
Kwahiyo unatafuta nini hapa? Unataka BWANA? Mabazazi washakuona sasa hopefully umefurahi. Umetoka kule umekuja huku kuharibu uzi wa watu huku. AM DONE WITH YOU.
 
mi navyojua mume unayemtafuta tayari yupo kwenye ndoa na ndio maana akaitwa mume,sasa wewe unatafuta mme au unataka kuiba mume wa mtu??
 
Hivi siku hizi mume/mke bora tunajitafutia wenyewe hatoki tena kwa bwana?
 
Mie niko hapa nimetimiza vigezo atleast vyoote ila sharti namba tatu ni gumu..... ila siyo mbaya sana maana nini sifa zingine lukuki ambazo hujaziweka mimi ninazo..... baadhi tuu hizo
-Niko vizuri kichwani
-Najua kupenda
-Ni mvumilivu
-Mcheshi
.
.
.
.
.
Na zingine nyingi nzuri
 
mie vigezo vyote ninavyo tatizo na pesa nyingi paka natamani jiteka
 
Kwahiyo unatafuta nini hapa? Unataka BWANA? Mabazazi washakuona sasa hopefully umefurahi. Umetoka kule umekuja huku kuharibu uzi wa watu huku. AM DONE WITH YOU.
Kinyago cha mpapure mwenzio anataka kuolewa wewe kinyamkera unamshauri utumbo eti akaekae wewe ilisha chezea ujana wako ngoja matako yalie mbata..
 
kama uko mwanza naomba tuonane, ingawa nina miaka 26 lakini mezani hapashindwi kitu.
NB: Sifa zote ninazo ikiwa ya kuajiriwa lakini baadhi ya mambo itabidi tuwe live ili tuanza mchakato.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…