Natafuta mwanaume 40-55 single

nimechoka usumbufu wa vijana

Kama nimekusoma vizuri ni kuwa vijana wanakusumbua sana na umechoka sasa unatafuta mbaba awacharaze viboko sio?

Na awe single ili ikitokea kijana akakusumbua hata usiku wa ma-tisa basi umuite aje fasta kumtandika fimbo bila vikwazo vya kuulizwa na mke wake anakwenda wapi, au sio?

Nafurahi mimi tu ndo sijatafsiri kingono maelezo yako teh teh teh!
 

Ha ha ha ha ha haaaaa....umemuelewa vizuri zaidi yetu sote....lol
 

Hahaha hahaha duh hii tafsiri hatareeeee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…